b..

B1

Wynem

animation

Tuesday, June 2, 2015

BONDIA FRANCIS CHEKA ALIVYO MSAMBALATISHA MTHAILAND KWA T.K.O YA RAUNDI YA NANE

Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane.
Bondia Francis Cheka kulia akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane
 Bondia Francis Cheka kulia akipambana na Kiatchai Singwancha wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa T.K.O ya raundi ya nane.
Bondia Shabani Kaoneka kulia akimtupia konde la nguvu Zumba kukwe wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kaoneka alishinda mpambano uho kwa point.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo0 wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na wadau mbalimbali akiwemo kaka yake wa pili kushoto Shabani Mhamila 'Star Boy' wakishudia mpambano wa cheka

No comments:

Post a Comment